Nahitaji mkopo

Nahitaji mkopo

Siti

Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Mimi ni mwajiriwa serikalini, nina miezi miwili kazini nahitaji mkopo kwa ajili ya accomodation na furnitures.kama kuna taasisi inakopesha kwa masharti nafuu naomba kufahamishwa nimejaribu nmb na crdb wamenambia wanataka salary slip za miezi 3 nami sina afu ninahitaji la haraka la kupata malazi msaada tafadhali
 
una miezi miwili, subiri mmoja utapata. mvumilivu hula mbivu....haraka zaweza kukuangushia pabaya.
 
Shukrani kwa ushauri ila naishi gest na gharama ni kubwa
 
Upo mkoa gani na unataka mkopo wa kiasi gani?
 
Mkuu nadhani uwe makini kuna sehemu
nyingine riba yaweza kuwa kubwa yaani makato
mpaka ukachanganyikiwa.

Nenda sehemu zinazojulikana vema nadhani miezi mitatu/mpaka udhibitishwe kazini.
 
Sawa utailipaje na kwa muda gani na nini dhamana yako.na unapenda kwa riba kiasi gani?
 
Nitailipa through makato ya salary dhamana ni ajira yangu riba iwe km za benk nyingine kwenye mkopo binafsi
 
Mimi ni mwajiriwa serikalini, nina miezi miwili kazini nahitaji mkopo kwa ajili ya accomodation na furnitures.kama kuna taasisi inakopesha kwa masharti nafuu naomba kufahamishwa nimejaribu nmb na crdb wamenambia wanataka salary slip za miezi 3 nami sina afu ninahitaji la haraka la kupata malazi msaada tafadhali
Mkuu ni kweli mkopo ni muhimu ila jitahidi kuangalia vipaombele vya kuchukulia mkopo kaka, mikopo huwa inaumiza unaweza ona kazi chungu
 
Vumilia kidogo ukienda kwa watu binafsi utalipa pesa mingi sana....tafuta chumba cha bei poa ujibane au hata kwa ndugu kwa muda kidogo ukijipanga!kuna guest za 10,000 au 15,000 tafuta hizo!
 
Mimi ni mwajiriwa serikalini, nina miezi miwili kazini nahitaji mkopo kwa ajili ya accomodation na furnitures.kama kuna taasisi inakopesha kwa masharti nafuu naomba kufahamishwa nimejaribu nmb na crdb wamenambia wanataka salary slip za miezi 3 nami sina afu ninahitaji la haraka la kupata malazi msaada tafadhali
acha ulofa tapeli mkubwa wwe!. we had unamaliza shule unaajiriwa ulikua unaishi wapi?, hela ya kukaa guest miezi miwili lets say guest ya 10,000 x siku 60 = 600,000 umeshindwa kupanga chumba na kuchonga kitanda. limbukeni Mkubwa wwe nenda kapeleke taarifa hii kishumundu. Ssa wwe cha kukusaidia njoo ulale kwangu bure.
 
Nachoweza kukushauri, vuta subira hyo miez mi3 ifike upate mkopo benki yenye masharti nafuu.

Aidha nakushauri hicho kiasi upunguze ni kikubwa sn kitakusumbua.. Coz inaonekana ndo unaanza life.

Acha usharobaro chukua nyumba na furniture za kawaida.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Acha ulimbukeni wewe, umeanza kazi na unataka milioni 5, kwanza ukubali umasikini wako, chukua chumba kimoja jibane hapo afu maisha taratibu. Asa unataka ufahari wakati we choka mbaya! Watakuoa hapa town. Afu punguza ku post ishu humu ukiwa umelewa viroba.
 
Mimi ni mwajiriwa serikalini, nina miezi miwili kazini nahitaji mkopo kwa ajili ya accomodation na furnitures.kama kuna taasisi inakopesha kwa masharti nafuu naomba kufahamishwa nimejaribu nmb na crdb wamenambia wanataka salary slip za miezi 3 nami sina afu ninahitaji la haraka la kupata malazi msaada tafadhali

Kwanza karibu sana JF, Maana inaonekana umejiunga jana tu tarehe 16 March na hii inaonesha katika pitapita yako street ukakutana na ushauri kuwa ukiingia JF unaeza saidika, thats true!

Nirudi kwenye swala lako, bila shaka ushaingia kwenye govt payroll, Govt na baadhi ya taasisi za fedha wamekubalia katika group loan scheme ambayo wewe unahusika, lakini utaweza kukopesheka endapo utakuwa na salary slip tatu recent, hiyo ina maana kuwa kwa sasa wewe hata kama umepokea mishahara haijafika mitatu, na nijuavyo salary slip ya mshahara wa mwezi 3 utaupata kwenye mshahara wa mwezi wa 4, huletwa ofisini kwenu zikiwa na payrol za mshahara wa mwezi husika.

hata hivyo katika kipindi hicho kuna baadhi waajiri wanaweza kukataa kupisha fomu yako ya maombi ya mkopo kwa sababi katika kipindi hiki kisheria upo kwenye miezi 6 ya muda wa uangalizi yaani probation period.

Unachoweza saidika ni kitu inaitwa advance salary kutoka kwa mwajiri wako lakini hii inategemea financial position ya ofisi yako ingawa nayo haitolewi mara nyingi advantage ni kuwa haina riba.

Nakushauri uende kwenye mabank zaidi kuliko taasisi zingine za fedha kwa sababu zipo taasisi ndogondogo zilizoliza wengi hasa walimu waliokwenda kichwa kichwa.

Asante
 
Achana na mikopo kijana, Umwinyi utakufilisi! Anza na ulichanacho! godoro na chumba cha elfu 30-50 zinatosha kuanza maisha! Utajijenga ukiwa ndani ya chumba hiko
 
aseme salary yake ni kiasi gani, kwasababu hicho kiasi -5m ni kingi kama salary yake ni ndogo, pengine akienda benki watamwambia mwisho 3m or amount x!
 
yani ukope benki ununue furniture? kweli watu tunatofautiana. fanya biashara mkuu then faida utumie kununulia furniture.
 
Kwikwikwi watu wanastress humu ndani balaa wanahis kila mtu katoka uchagan kama wao take a chill pill guys usimkashifu mtu usiomjua
 
Thanx man you are a great thinker, bahati nzuri ni juzi tu nimepiga bonge la ishu mie na wenzangu nimetoka na kitu ka 2.8M,watu waache kashfa wengine tuko vitengo vyenye monie,nilitaka loan kwani nilikuwa na hitaj la haraka wakati ule
Kwanza karibu sana JF, Maana inaonekana umejiunga jana tu tarehe 16 March na hii inaonesha katika pitapita yako street ukakutana na ushauri kuwa ukiingia JF unaeza saidika, thats true!

Nirudi kwenye swala lako, bila shaka ushaingia kwenye govt payroll, Govt na baadhi ya taasisi za fedha wamekubalia katika group loan scheme ambayo wewe unahusika, lakini utaweza kukopesheka endapo utakuwa na salary slip tatu recent, hiyo ina maana kuwa kwa sasa wewe hata kama umepokea mishahara haijafika mitatu, na nijuavyo salary slip ya mshahara wa mwezi 3 utaupata kwenye mshahara wa mwezi wa 4, huletwa ofisini kwenu zikiwa na payrol za mshahara wa mwezi husika.

hata hivyo katika kipindi hicho kuna baadhi waajiri wanaweza kukataa kupisha fomu yako ya maombi ya mkopo kwa sababi katika kipindi hiki kisheria upo kwenye miezi 6 ya muda wa uangalizi yaani probation period.

Unachoweza saidika ni kitu inaitwa advance salary kutoka kwa mwajiri wako lakini hii inategemea financial position ya ofisi yako ingawa nayo haitolewi mara nyingi advantage ni kuwa haina riba.

Nakushauri uende kwenye mabank zaidi kuliko taasisi zingine za fedha kwa sababu zipo taasisi ndogondogo zilizoliza wengi hasa walimu waliokwenda kichwa kichwa.

Asante
 
Duh kweli dogo una stress za maisha ila usinikasirikie mie bana kukosa kwako ajira usiweke chuki kwa wengine aliyepewa kapewa

Back
Top Bottom