Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,761
ulishaona wakulima wapo jf huku na mashamba wamemwachia nani hap ahamna mkulima mwenziokama ulikuwa hujuwi habari ndio hiyo sisi tunalima kileo sio kizamani! Karibu ujionee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulishaona wakulima wapo jf huku na mashamba wamemwachia nani hap ahamna mkulima mwenziokama ulikuwa hujuwi habari ndio hiyo sisi tunalima kileo sio kizamani! Karibu ujionee!
Hahahaa... Nilikuwa nalima zile enzi za UJIMA.. Ila baada ya kukaa maghorofani ndio nimeacha..!
zile zimepita sasa tuuwakulima wasafi unapiga suti na unaenda shambani enzi zile mkulima lazima uwe mchafu! ndio maana ulishindwa!
ulishaona wakulima wapo jf huku na mashamba wamemwachia nani hap ahamna mkulima mwenzio
Hahahaaa... Sikushindwa ila ni mazingira tuu ndio yaliyonitenganisha na Kilimo..!
Ila tahadhari akishakula mhindi asitupe gunzi hovyo
Styele mpya ya kutongoza mbona moro wakulima kibao huko matombo,mgeta
mikono ya huku ni yakushika mause na touch screen jembe utalisikilia kwenye kipindi cha kilimo kwanza ,mimi simo ndugu mkulimawewe huo ndio upeo wako unazani enzi zile..? sasa natuma post yangu nikiwa shambani mwangu! amka juwa wakulima wa leo sio wa miaka 50 iliyo pita!
by the way unayo nafasi ya kubadilisha mazingira! amua chukua hatua!
hahaha ndugu yangu ukulima wa siku hisi ni mipango! sio kushika jembe bali ni kalam na touch screen pembeni!mikono ya huku ni yakushika mause na touch screen jembe utalisikilia kwenye kipindi cha kilimo kwanza ,mimi simo ndugu mkulima
wakulima tulikuwa tumesahaulika nakuja na pawatila langu kabisa
Si ndio maana nataka nije huko Moro niachane na kukaa magorofani..!
hahahahaha nitakuajiri bibi shamba lol
hahaha wabongo mnapenda raha! jiko la gass lipo house gel
yupo ndie anae kaa na mtoto wangu! sasa nawe utataka wako?
Hahahaaa... Jamani nashukuru ila mie ajira ninayoitaka ni ya huyo mtoa thread..!!