nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

Jamani kasema kama ni mtoto at least awe mmoja! Mnasoma thread vizuri kweli? Wa kwake jumlisha wa kwako wanakua wawili.

what if kama sina mtoto?unajua nyie wanaume huwa mnajidanganya mnapotafuta wanawake wenye mtoto eti kwa kuwa tayari wewew unaye.uzuri wa mtu umo ndani ya moyo wake na sio kwa kuwa keshazaa unaweza kupata asiyekuwa naye akakulelea vzr mwanao na huyo mwenye naye akawa na roho mbaya tu acheni kuishi kwa nadharia za vijiweni
 
mimi nimekupenda sana.....hasa ulivyotaja mambo ya kilimo nikakumbuka mahindi ya kuchoma......wallah nakupenda wewe......na niko serious.......napatikana Yaeda.......

AhahahAaaaaaa, JF bwana panafurahisha yaani wanawake kwa wanaume wa JF wote wamepinda duu! Eti Preta kapenda mtu kwa mahindi ya kuchoma!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
AhahahAaaaaaa, JF bwana panafurahisha yaani wanawake kwa wanaume wa JF wote wamepinda duu! Eti Preta kapenda mtu kwa mahindi ya kuchoma!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

ndugu yangu....haya maisha bila kujitoa fahamu....si utakuwa mwehu....kila unapopata fursa....haina budi kufurahi.....
 
Mkulima ulime nini,unauwezo wa kununua mbolea au unazungumzia jembe la kiutuuzima
 
habari za leo wanajamii? natumaini ni wazima wa afya........ kama kawaida cku yangu jana iliendelea vizuri sana jana nilikutana na mtu mmoja tu (1) kila swali langu lilijibiwa vizuri..! ninamatumain huyu huenda akawa ndie hasa mkulima niliekuwa namtafuta, pia nitoe shukurani kwa mlio ni pm na nilio wa pm siwezi kuwazarau nawaheshim sana. na asanteni kwa ushauri wenu.
 
shukurani pia ziende kwa wale wasio amini na kuona kila anae kuja jf kaferi 'awashauri wabadilike sasa kila kitu ni hazarani. sio siri kama miaka 50 iliyo pita. well done JF kwa mpango wenu.
 
Back
Top Bottom