nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

hahaha jamani nahisi teh teh ki ki ki ki uuwiiii haya subirini usaili mwisho tarehe 30 mwezi 11 2012 kama hajapatikana! basi nitabadilisha mwelekeo!
 
hahaha jamani nahisi teh teh ki ki ki ki uuwiiii haya subirini usaili mwisho tarehe 30 mwezi 11 2012 kama hajapatikana! basi nitabadilisha mwelekeo!

Mie nishahisi sitapita kwenye huo usaili.. Labda utakapo badilisha masharti..! Lol
 
Mlima wa aina gani???? JEMBE LA MKONO SITAKIIIIIIIIIII!!!!!! Ila kama ana ESTATES na PLANTATIONS hapo kidogooooo!!!!!! Sumaye nae kawa mkulima ila wa PLANTATIONS!!!!!!
 
habari zenu wana jf..? natumain tunaianza cku kwa matumain! jana ilikuwa siku ya promes nimeonana na wadada wawili daah sijuwi hawakunielewa? swali la kwanza lilikuwa hili namuuliza unamtoto? anasema ndio ila ninao wawili (2)..! jamani na sisitiza ukiwa na watoto wawili pole sana wala usipoteze mda wangu pls pls pls.
 
we si una mtotot?wanaume bwana we mwenyewe used unakataa mwanamke used hivi wanauume mbona wabinafsi sana.hata mimi ungekuwa huna mtotot ningekuwa comp.candidates
 
Hahahahah anataka ki2 brand new wakati yeye used! Lol jf kuna hatariii
we si una mtotot?wanaume bwana we mwenyewe used unakataa mwanamke used hivi wanauume mbona wabinafsi sana.hata mimi ungekuwa huna mtotot ningekuwa comp.candidates
 
we si una mtotot?wanaume bwana we mwenyewe used unakataa mwanamke used hivi wanauume mbona wabinafsi sana.hata mimi ungekuwa huna mtotot ningekuwa comp.candidates

Jamani kasema kama ni mtoto at least awe mmoja! Mnasoma thread vizuri kweli? Wa kwake jumlisha wa kwako wanakua wawili.
 
Dah!! Kaazi kweli kweli..!!
 
Mimi nina mapacha naruhusiwa kuapply?
 
wamama msinielewe vibaya! mimi sitaki ambae ana watoto wawi! ukiwa na mmjo sio tatizo! nataka kuwa na watoto 3 sio 4 naomba mnielewe! huu ni msimamo wangu. nitafurahi sana kama mtakuwa waelewa! simbaguwi mtu! nawatakia cku njema!
 
mimi nimekupenda sana.....hasa ulivyotaja mambo ya kilimo nikakumbuka mahindi ya kuchoma......wallah nakupenda wewe......na niko serious.......napatikana Yaeda.......

yaeda chini kwa watindiga
 
[QUOTE= safi sana kaka nakutakia kila la kheri ila nakutahadharisha jukwaa hili lina kila aina ya pipol! wapo wakweli na wasanii! nenda taratibu jambua upi mchele zipi pumba! nakitakia cku njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…