mkulima 111
Member
- Oct 22, 2012
- 26
- 6
- Thread starter
-
- #61
safi sana kaka nakutakia kila la kheri ila nakutahadharisha jukwaa hili lina kila aina ya pipol! wapo wakweli na wasanii! nenda taratibu jambua upi mchele zipi pumba! nakitakia cku njema![/QUOTE said:asante ndugu! kwa ushauri wako! nawe pia cku njema.
Jamani kasema kama ni mtoto at least awe mmoja! Mnasoma thread vizuri kweli? Wa kwake jumlisha wa kwako wanakua wawili.
mimi nimekupenda sana.....hasa ulivyotaja mambo ya kilimo nikakumbuka mahindi ya kuchoma......wallah nakupenda wewe......na niko serious.......napatikana Yaeda.......
AhahahAaaaaaa, JF bwana panafurahisha yaani wanawake kwa wanaume wa JF wote wamepinda duu! Eti Preta kapenda mtu kwa mahindi ya kuchoma!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums