Nahitaji mobile Gold processing plant

Nahitaji mobile Gold processing plant

mchakamchaka2

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
115
Reaction score
54
Habari wakuu...nimeona nitupie hii issue yangu humu jukwaani kwani naamini JF kuna kusanyiko la wajuvi wa mambo mengi hivyo naamini nitapata suluhisho.
Nimekuwa kwenye hii biashara ya kuprocess marudio ya mchanga wa dhahabu mda kidogo sasa..katika biashara hii nimekumbana na changamoto kadhaa miongoni mwao ni upatikanaji wa processing plant kwa wakati na pia umbali wa plant kutoka kwenye material. Hivyo nimefikiria na naona inawezekana kuwa na plant inayohamishika/ mobile plant. Kama kuna mdau yoyote ana idea au ashawahi kusikia kuna hii technology naomba ashare nami.
 
Sina mchango kwa sasa katika hili,ila vipi, uko Chunya mkuu ?
 
Habari wakuu...nimeona nitupie hii issue yangu humu jukwaani kwani naamini JF kuna kusanyiko la wajuvi wa mambo mengi hivyo naamini nitapata suluhisho.
Nimekuwa kwenye hii biashara ya kuprocess marudio ya mchanga wa dhahabu mda kidogo sasa..katika biashara hii nimekumbana na changamoto kadhaa miongoni mwao ni upatikanaji wa processing plant kwa wakati na pia umbali wa plant kutoka kwenye material. Hivyo nimefikiria na naona inawezekana kuwa na plant inayohamishika/ mobile plant. Kama kuna mdau yoyote ana idea au ashawahi kusikia kuna hii technology naomba ashare nami.
Habari mkuu! Kwenye upande gold Mimi mna mtu anayo furnace ambayo inatumika kuyayeshia dhahabu(melting)na unaweza yayusha na ukaweka dhahabu kwenye modules unazotaka wewe mashine Hyo inakwenda mpaka temperature 1800 degree centigrade....ni digital una i set tu utakavyo.....inatumia umeme wa 2 phase
Kama utakuwa interested nayo au una mtu anayehitaji tuwasiliane mkuu
Bei ni 30mln

Ova
 
Alafu nna mtu ambaye anaweza kuku dizainia Hyo kitu si anatumia bledder tanks
Yuko vizuri sana

Ova
 
China zipo ila unaweza pata SA hata used zipo unge Google utaziona
 
Habari mkuu! Kwenye upande gold Mimi mna mtu anayo furnace ambayo inatumika kuyayeshia dhahabu(melting)na unaweza yayusha na ukaweka dhahabu kwenye modules unazotaka wewe mashine Hyo inakwenda mpaka temperature 1800 degree centigrade....ni digital una i set tu utakavyo.....inatumia umeme wa 2 phase
Kama utakuwa interested nayo au una mtu anayehitaji tuwasiliane mkuu
Bei ni 30mln

Ova
Anataka mobile plant
 
Back
Top Bottom