mchakamchaka2
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 115
- 54
Habari wakuu...nimeona nitupie hii issue yangu humu jukwaani kwani naamini JF kuna kusanyiko la wajuvi wa mambo mengi hivyo naamini nitapata suluhisho.
Nimekuwa kwenye hii biashara ya kuprocess marudio ya mchanga wa dhahabu mda kidogo sasa..katika biashara hii nimekumbana na changamoto kadhaa miongoni mwao ni upatikanaji wa processing plant kwa wakati na pia umbali wa plant kutoka kwenye material. Hivyo nimefikiria na naona inawezekana kuwa na plant inayohamishika/ mobile plant. Kama kuna mdau yoyote ana idea au ashawahi kusikia kuna hii technology naomba ashare nami.