Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!
Mbona age yako ni ndogo sana kukata tamaa mpenzi, halafu unaongelea kuumizwa sana ukiwa na miaka saba nyuma yaani 17yrs! naamini hata aliyekuumiza alikuwa hajui anafanya nini, nakushauri usiingie haya mambo ya mkataba labda useme unahitaji mpenzi ambae makemistry yakikubali muendelee next level yaani uchumba. kwa mimi nakuona bado una muda mwingi wa kupata perfect match
always na admire ur comments... ni kweli bado hajafikia umri wa kukata tamaa ni binti mdogo sana nahisi atakuwa bado yuko chuo kama anasoma
mmmh! 23-7=17 au 16 duh kweli hisabati ni janga la kitaifa.