nothing fo good,
kwangu i dont care which city or which province u r ...kwakuwa hukuweka masharti magumu kabisa,
ila kwangu mm nina masharti moja au mawili yenye a be na che hivi
1.uwe tayari kwenda kupimwa ngoma,lazima uonyeshe cheti na badala ya hapo mguu kwa mguu hadi hospitali bingwa,hii ni kwa ajili ya usalama wetu, usi maindi.
2.usiwe mbumbumbu wa elimu.
3.kwa mtazamo wangu unaweza kuwa mzito,mnene mfupi kwangu kwani mm ni 177m,mwembamba,mtanashati.ningependa uwe tayari kuondoa aleji na gym.
4.kwakuwa mm nitakuwa ni wa kukupeleka moja kwa moja kwenye next level, basi kuwa mwepesi wa kutuma picha zako tatu hivi,kwenye
mohsein@live.com ili nipate kujua jinsi muonekano wako.
5.kitu gani ambacho unakichukia kuhusu wewe mwenyewe hususani mwilini.
basi kama kweli ni mdada mwenye kutaka kizuri kutoka hapa, basi jibu maswali hayo.
nawakilisha!