aiseeUna nyota ya Usiku
Hamia Ulaya cha mideko hao wazungu hawataki nywele za wafu(Brazilian) hawataki mkorogo na uwe unazungumza kiswahili vizuri sio kiswanglish,usiwe na lichura na bila ya kusahau uwe unajipenda ulivyo.Yaaan kila anaenitongoza n mweis tu kwan m nina nyota gan
[emoji3] [emoji3]
Kweli kazi kuna wenzio akina MBITIYAZA & co. kutwa kusifia wanaume weusi kuwa ndo wazuri tusiokua weusi tunaonekana kama tuna upungufu wa uanaume mwilini!
Kuja kwangu.Yaaan kila anaenitongoza n mweis tu kwan m nina nyota gan
[emoji3] [emoji3]
hahahahaha kumbeee! basi sawa..!
hahaahaha mkuu usijali na mbwembwe za humu aisee !zile ni mbwembwe ingawa zina ukweli !mie mume wangu mweupeeeeeeeeeeee kama manji hvyo unavyomuona !na midevu vile vile ! so tunaongea tu kujitibu kisaikolojia !heheeeheh!
sema kaukweli kanaremain CONSTANT
hahahahaha kumbeee! basi sawa..
Ila nimependa ulivyosema 'kaukweli kanaremain CONSTANT' hahahaha
bila samahani mpendwa.hahahahha samahn lakini mkuu ! sijui nielezeej tu wanaume weusi ! kwanza kuona nanihii nyeusi tu ni mzuka full! hatar tupu