Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Africa kuna mweupe? au una ongelea weusi kina Joh makini
 
Wape moyo kwakweli watanisamehe sinaga mzuka na me weupe yaani sishtuki hata kaduchu, me mweusi awe na jisauti zito hapo usaili utafanyika

hahaahha !unamtukana had mume wangu wewe !kaangalie kwanza ! sasa hyo sauti shogangu uwe unaongeleshwa hapo jamaa yupo ndani shuuuuuuuuuuubaaaaaaaaaamit
 
Mapaja yanashake yenyewe, msalimie Shem Kumbe ni white duh, aniwie radhi
 
aisee tunashukuru maana hali ingeweza kuwa mbaya hahahaha

hapana !mie nachojua mapenzi ni kujitune tu ! mie zaman nilikua sipokei hata salamu ya mtu mweupe !imagine nilikua km chiz nadhan hahahah! lakini ndo nimekuja olewa na mwarabu wa shy
 
ni kweli kabisa. moyo wa ajabu sana sometime huenda tofauti.
ni sawa na hawa vijana wanaodai wanataka chura tu ndo mwisho wa siku wanakuja penda wenye ubao wa kupigia pasi!
 
ahahaha ni kweli mkuu ! ndo maana mie naziita mbwembwe tu hzi
 
Back
Top Bottom