MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Unipe white? Akuuuu
mtamu wewe nawe !nakupa 6mths!na ww nipe 6mths !nitakavyofanya sasa najinasisha ndukiiiiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unipe white? Akuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mtamu wewe nawe !nakupa 6mths!na ww nipe 6mths !nitakavyofanya sasa najinasisha ndukiiiiiiiiiii
[emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji23]Nyie madem mnaotaftaga wazungu ,ni kwamba weng wanakua wameumizwa sasa hua wanadhan akipata mzungu ndo atamkomoa aliyemtenda,kwamba okay,nimempata zaid yako,hahaha,kuna x wangu m1 tuliachana ,baada ya ka mwez hiv et kapiga pic na mzungu whatsapp af akantext tuchat tuu ili nione,nkamuliza ndo shemej akasema ndio,hahahah,cha ajab baada ya wik kadhaa anajileta leta tena ooh nilifanya vle upate wiv,..hahah,nkasema shut the fuc*K up,..move on sasa
Hahaha,unacheka,..nyi mna mambo sana,usipokua makin,unaeza data[emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji23]
Naamini siyo wote.. Hata ivyo najua wewe si kati ya haoHahahaaa. Mkuu sio wote bana.
Nenda ulaya, utafuta mwanaume mweupe Africa utakuwa na utindio wa ubongoHabari zenu wanajukwaa,
Kwanza nashukuru sana kwa kunitia moyo katika uzi wangu uliopita.
Pili, nikwamba bado sijakata tamaa nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(Mzungu) tafadhali dada zangu kina miss chagga, miss natafuta, jjes na wengine wote naombeni maujuzi nifanyeje mdogo wenu.
Note: Sitampa tena mwanaume hela
Hahaaa. Kweli kabisa mkuu.Naamini siyo wote.. Hata ivyo najua wewe si kati ya hao
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Hongera sana.Hahaaa. Kweli kabisa mkuu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ahsante sana[emoji2] [emoji2] [emoji2] Hongera sana.
Kupenda Mteremko Wa Maisha Sio Kitu Kizuri Kabisa .Habari zenu wanajukwaa,
Kwanza nashukuru sana kwa kunitia moyo katika uzi wangu uliopita.
Pili, nikwamba bado sijakata tamaa nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(Mzungu) tafadhali dada zangu kina miss chagga, miss natafuta, jjes na wengine wote naombeni maujuzi nifanyeje mdogo wenu.
Note: Sitampa tena mwanaume hela
Mmh. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nimecheka mbinu yake ilivyobumaHahaha,unacheka,..nyi mna mambo sana,usipokua makin,unaeza data
Ahsante sanaLOL! Jumapili na jioni njema kwako pia.
Ahsante sana
[emoji120] [emoji120] [emoji120]