Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Kweli kazi kuna wenzio akina MBITIYAZA & co. kutwa kusifia wanaume weusi kuwa ndo wazuri tusiokua weusi tunaonekana kama tuna upungufu wa uanaume mwilini!
 
Yaaan kila anaenitongoza n mweis tu kwan m nina nyota gan
[emoji3] [emoji3]
Hamia Ulaya cha mideko hao wazungu hawataki nywele za wafu(Brazilian) hawataki mkorogo na uwe unazungumza kiswahili vizuri sio kiswanglish,usiwe na lichura na bila ya kusahau uwe unajipenda ulivyo.
Ni hayo tu
 
Nenda South Sudan kisha uje utuambie hao waliokuwa wanakuja kwako ni weusi au weupe?
 
Kweli kazi kuna wenzio akina MBITIYAZA & co. kutwa kusifia wanaume weusi kuwa ndo wazuri tusiokua weusi tunaonekana kama tuna upungufu wa uanaume mwilini!

!
hahaahaha mkuu usijali na mbwembwe za humu aisee !zile ni mbwembwe ingawa zina ukweli !mie mume wangu mweupeeeeeeeeeeee kama manji hvyo unavyomuona !na midevu vile vile ! so tunaongea tu kujitibu kisaikolojia !heheeeheh!

sema kaukweli kanaremain CONSTANT
 
hahahahaha kumbeee! basi sawa..
Ila nimependa ulivyosema 'kaukweli kanaremain CONSTANT' hahahaha
 
We unataka wa rangi gani?

Baadhi ya wanaumwa wa Asia wa nataka kuwa weusi.
Baadhi ya wanaume from Europe, white American, Australia wanataka kuwa weusi.

Sijui kwa nini huipendi rangi ambayo wengi wanaitaka -🙂 -🙂
 
hahahahha samahn lakini mkuu ! sijui nielezeej tu wanaume weusi ! kwanza kuona nanihii nyeusi tu ni mzuka full! hatar tupu
bila samahani mpendwa.
hahahaha si inawezekana akawa mweupe mweupe lakini nanihii ikawa nyeusi nyeusi au hiyo hainogi sana?
 
Back
Top Bottom