Uyu tumfate tu huko maana hataki kuja..Njoo Pm mama
Kijana wa CCM unatafuta nini hapa?Njoo pm best
Zama zinabadilika ndio maana hata wababa siku hizi wanafundishwa kuhusu hedhi.Hawa wenza wa kutafutwa kwenye mitandao! Mmmh!!! Maisha yamebadilika sana. Sisi vijana wa kale tunastaajabu sana na haya mabadiliko ya kutafuta wenza kwenye mitandao.