Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,167
Mm natafuta mtu wakumfundisha uchawi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.
Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40.
Awe christian.