Si tatizo sana umri ila wengi 25..27 wanashida sana naprefer watu wazima au aliyewahi kuoa kabisa ila mgane.
Mkuu tusi la nini tena hapoPumbav weka picha yako
kila la heri[emoji7]Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.
Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40.
Awe christian.
Njoo pmHabari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.
Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40.
Awe christian.
Chura na Nido ipo yakutosha lknHabari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.
Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40.
Awe christian.
nimependa ulivyomuweka wazi kabisa.Mm Niko mbeya nna miaka 30 kamili ila niliwahi kuoa ndoa ikaota mbawa kwa maana nilitalakiana na mke,mna watoto wa3 kama uko tayar karibu pm but sitegemei kuish dsm maaan nipo huku kikaz na huku ndio nyumbani kwetu! Mawifi na wakwe watabisha hod kila siku!! Mm n mnyakyusa
tofauti ikwap anayekaa mtaan ndo huyo huyo kajiunga jf, tusiishi kwa kukaririHawa wenza wa kutafutwa kwenye mitandao! Mmmh!!! Maisha yamebadilika sana. Sisi vijana wa kale tunastaajabu sana na haya mabadiliko ya kutafuta wenza kwenye mitandao.
Dah wanawake kazi tunayo😂😂😂kama unachura ni pm
seriously natafuta mchumbaDah wanawake kazi tunayo[emoji23][emoji23][emoji23]
ambaye ana chura, na sio tabia na hekima zakeseriously natafuta mchumba
tabia inaregebishikaambaye ana chura, na sio tabia na hekima zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu akujalie hitaji la moyo wako. Sijafika vigezo.
Nipo nitafuteHabari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.
Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40.
Awe christian.