Kwani nataka nimzalie mtoto?
Me nina watoto wakubwa.
Wa kwanza yuko nje ameoa na ana familia yake.
He's 33yrs,na wengineo.
Kupanga ni kuchagua na kila mtu anayo haki ya kuchagua..Sitaki aoe na sitaki atafute Mtoto.
Takataka wewe tena achana na mimi kabla sijakuumbuwa na kuiweka ID yako nyingine wazi hapa hapa, mpuuzi mkubwa wewe. endelea kucheza na hao wanaoendelea kucomment labda ni wageni hapa JF.Ficha Upumbavu Wako JB WISER
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
we unaakili timamu ?????????????basi subiri walioachika kama weweSitaki aoe na sitaki atafute Mtoto.
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
Litendee haki jukwaa, kuna thread ulianzisha ukisema una miaka 27 unatafuta mume, leo unasema unamiaka 55, lipi ni lipi? Wenzio wapo serious hapa, otherwise peleka jukwaa la jokes.
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
Huyu atakuwa mwanao wa kumzaa tena ukiwa over 20 years mama. Utathubutu kumvulia gagulo? Kweli umeshindwa kumpata mwanaume wa umri wako hata mjane tu? Umri huu mapenzi na wewe wapi na wapi? Kichekesho cha mwaka hiki!!! Da kazi kweli kweli.
Ajue kujituma kitandani,
sarakasi zote za 6 kwa 6.