Nahitaji mpenzi wa kiume

Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
Kwani nataka nimzalie mtoto?
Me nina watoto wakubwa.
Wa kwanza yuko nje ameoa na ana familia yake.
He's 33yrs,na wengineo.

wa kwako ana 33, unataka wa mmama mwenzio mwenye 22-26yrs, wewe si muuaji wewe? chukua mwano aku.....ili muendeleze ukoo. huna heshima mwanamke mzima. shame on you
 
Sitaki aoe na sitaki atafute Mtoto.
Kupanga ni kuchagua na kila mtu anayo haki ya kuchagua..

LAKINI

Huoni kwamba yeye kama anataka familia (kupata watoto) na wewe hutaki kumpa hao watoto utakuwa humtendei haki, ukimkataza kutafuta hao watoto ?, nadhani ili uwe fair ungemruhusu afanye atakacho (no strings attached) mahusiano yenu yawe kupeana company.. ama sivyo baadae atakuchukia na kukuletea visa hata kupelekea kukufanya wewe kama mtaji wake wa kupiga raha na wengine.

Believe me broken heart has no age.., na visa vya kutendewa na mtu kama huyu vinaweza kufanya maisha yako yakawa machungu
 
wa kwako ana 33, unataka wa mmama mwenzio mwenye 22-26yrs, wewe si muuaji wewe? chukua mwano aku.....ili muendeleze ukoo. huna heshima mwanamke mzima. shame on you

Utajua mwenyewe.
 
Wa kwako unaye, baba yangu ndo unaona wa kuchezea, my dady is now 70 in a happy marriage with my mumy at 63. Nenda kafanyiwe maombi kwa jina la Yesu mzee mwenzako mtarudiana tu.

Asante.
 
Ficha Upumbavu Wako JB WISER
Takataka wewe tena achana na mimi kabla sijakuumbuwa na kuiweka ID yako nyingine wazi hapa hapa, mpuuzi mkubwa wewe. endelea kucheza na hao wanaoendelea kucomment labda ni wageni hapa JF.
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!
 
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.

im 25 nina mtoto,je nakubalika?
 
Ungewaekea Contacts zako. Otherwise huu ni mtego wa kuwajua watu na IDs zao.

Wenzako pia wametumia
 
duuhhh....mwaka huu nina bahat kweli kila nikiingia JF nakutana na mambo mazuri ...mm nina sifa hzo hata ss hv niko tayari ww sema 2 uko wap nije fasta
 
Kila la kheri dada, sioni cha ajabu hawa watu wa JF ni wazandiki mbona kila siku vibinti vinaolewa na vibabu na hatushiki mabango.

Acheni hizooo....
 
Hii ni 31/12 wewe unagonga ngozi......hakuna cha msp...kama vile umetengeneza wewe!!likizo yako wewe nikuchoka!!Dunia ni noma sana!!!
 
Litendee haki jukwaa, kuna thread ulianzisha ukisema una miaka 27 unatafuta mume, leo unasema unamiaka 55, lipi ni lipi? Wenzio wapo serious hapa, otherwise peleka jukwaa la jokes.
 
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.

Huyu atakuwa mwanao wa kumzaa tena ukiwa over 20 years mama. Utathubutu kumvulia gagulo? Kweli umeshindwa kumpata mwanaume wa umri wako hata mjane tu? Umri huu mapenzi na wewe wapi na wapi? Kichekesho cha mwaka hiki!!! Da kazi kweli kweli.
 
kumbe love connect nako kuna vituko.huwa napitwa hivi.i wish nikifika hiyo age,mchezo niwe bado naupenda
 
Litendee haki jukwaa, kuna thread ulianzisha ukisema una miaka 27 unatafuta mume, leo unasema unamiaka 55, lipi ni lipi? Wenzio wapo serious hapa, otherwise peleka jukwaa la jokes.

Huyo hana haja ya mume, ana kidudu kinaitwa "nina" kinataka kuninwa. Hili litakuwa ni senga tu, hakuna kingine.
 
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.

ngoma inogile
 
Huyu atakuwa mwanao wa kumzaa tena ukiwa over 20 years mama. Utathubutu kumvulia gagulo? Kweli umeshindwa kumpata mwanaume wa umri wako hata mjane tu? Umri huu mapenzi na wewe wapi na wapi? Kichekesho cha mwaka hiki!!! Da kazi kweli kweli.

things have fallen apart,hakuna anaejali zama hizi,kila kitu ni shagalabaghala.
 
Lengo lako si kusaidia ni kuwaharibu vijana ......ujana wako ufaidi pekee yako leo umezeeka unataka uzeeke na vijana? sidhani hata kama utakuwa na hisia za mapenzi au kuwachosha tu watoto wa wenzako?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom