Nahitaji mpenzi wa kiume

Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
Am a Tanzanian Woman.

Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.

Mimi Nimetengana na Mume wangu.

Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.

Umri wangu ni miaka 55.

Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
eeehh eeehh.. Daa nawapendaga lakn nawaiswasi ni pm nitafikiria
 
MtalimaK
Huyu mdada alikuwa anatafuta mtu miaka mingi na tulishamzika mwaka juzi makaburi ya segerea.
Acha uongo!
IMG_20180427_151045_971.jpg
 
MtalimaK
Huyu mdada alikuwa anatafuta mtu miaka mingi na tulishamzika mwaka juzi makaburi ya segerea.
Mkuu, ebu tueleze vizuri kuhusu huyu Tinnah, maana minajua alikuaga mwalimu wa shule moja ya msingi huko Darisalama.
 
Jamani Msimzushie Am Katrina Yupo Hajafa Na Chura Yake Ipo Bado
 
Am a Tanzanian Woman.

Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.

Mimi Nimetengana na Mume wangu.

Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.

Umri wangu ni miaka 55.

Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
umeshapata?
 
Nmeku PM bby
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom