Nahitaji mpenzi wa kiume

Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
Sijui na sielewi unachoongea.

Wewe ni mwanaume au mwanamke?
Hapa natafuta mchumba
Sasa hauelewi vipi? Nasema hivi Jana ulifungua uzi kwa kutumia hii id kudhalilisha watu. Sasa tumekushtukia unajaribu kuweka id hii na ile yakwako tuliyoizoea zote ziwe active. Ili wale tuliokushtukia tuhisi si kweli.
 
Ule wa Chit Chat?
Pale nimewadhalilisha au nimewasifia ili na mimi nipate mbinu za kuwa online muda wote?
Wao masaa 24 wako online.
Wanipe mbinu namimi
 
Ni kweli umewasifia. Sasa mbona haukuandika kwenye id yako unayochekeanaga nao? Kwa nini ukalifukue hili fekero?

Mie sikuelewi ujue.
Hebu taja hiyo Id unayosema kwanza.
Nachekeana nao kivipi?
 
Mie sikuelewi ujue.
Hebu taja hiyo Id unayosema kwanza.
Nachekeana nao kivipi?
Unaijua. Halafu wewe haupendezei hata kumfanyie hata mtu ubaya. Unavyo haha lazima ukamatwe tuu. Yaani kwenye ile id yako nyingine ume lose confidence ni kutapa tapa.
 
Unaijua. Halafu wewe haupendezei hata kumfanyie hata mtu ubaya. Unavyo haha lazima ukamatwe tuu. Yaani kwenye ile id yako nyingine ume lose confidence ni kutapa tapa.
Si utaje hiyo Id?
Itaje?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bado tu ujaopoa niwezeshe mie pesa ya vibia asante @mzigua09
We unataka kulelewa mimi ninataka kulelewa pia
 
Tangu nijitokeze kipindi kile sijapata mtu.
Nimekuja rasmi kutafuta mwanaume mwingine.
Umri wangu ni miaka 38
Sichagui dini wala kabila

Mawasiliano mje inbox au Pm
Asanteni.

Kwa aliye serious tu.
Sitaki buguza
Nahisi hii miaka unanifaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom