Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki hapo sawa!Nataka wa miaka kuanzia 35 kwenda mbele
Sasa hauelewi vipi? Nasema hivi Jana ulifungua uzi kwa kutumia hii id kudhalilisha watu. Sasa tumekushtukia unajaribu kuweka id hii na ile yakwako tuliyoizoea zote ziwe active. Ili wale tuliokushtukia tuhisi si kweli.Sijui na sielewi unachoongea.
Wewe ni mwanaume au mwanamke?
Hapa natafuta mchumba
Me nna miaka 30 napenda chura vp upo tayari?Nimeshajieleza hapo juu
Ule wa Chit Chat?Sasa hauelewi vipi? Nasema hivi Jana ulifungua uzi kwa kutumia hii id kudhalilisha watu. Sasa tumekushtukia unajaribu kuweka id hii na ile yakwako tuliyoizoea zote ziwe active. Ili wale tuliokushtukia tuhisi si kweli.
Ule wa Chit Chat?
Pale nimewadhalilisha au nimewasifia ili na mimi nipate mbinu za kuwa online muda wote?
Wao masaa 24 wako online.
Wanipe mbinu namimi
Unaijua. Halafu wewe haupendezei hata kumfanyie hata mtu ubaya. Unavyo haha lazima ukamatwe tuu. Yaani kwenye ile id yako nyingine ume lose confidence ni kutapa tapa.Mie sikuelewi ujue.
Hebu taja hiyo Id unayosema kwanza.
Nachekeana nao kivipi?
Mkuu unajua madhara ya kuweka no hadharani?Nicheki 0625930807
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bado tu ujaopoa niwezeshe mie pesa ya vibia asante @mzigua09Acha kubania watu riziki zao
Si utaje hiyo Id?
Itaje?
Ungetaja Id ningejua la kusema ila huna ushahidi mkuu.
Weka ushahidi.
Ni kitu rahisi sana.
Nahisi hii miaka unanifaaTangu nijitokeze kipindi kile sijapata mtu.
Nimekuja rasmi kutafuta mwanaume mwingine.
Umri wangu ni miaka 38
Sichagui dini wala kabila
Mawasiliano mje inbox au Pm
Asanteni.
Kwa aliye serious tu.
Sitaki buguza