NIFEDIPINE
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 215
- 224
Huo ukristo na hiyo hofu ya mungu yupi?.Hello habari zenu. NAMI nichukue fursa hii kutafuta mpenzi. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,mwajiriwa serikalini,nimeoa mke yupo mkoani.
Nahitaji mpenzi Ambaye:
1. Ana umri kuanzia 22 mpaka 33
2. Awe ana kazi inayomuingizia kipato/asiwe tegemezi.
3. Awe tayari kupima afya/HIV/Pregnancy test.
4. Awe mkazi wa Dar es salaam maana NAMI naishi Dar.
5. Awe mkristo walau mwenye kuhudhuria ibada na hofu ya Mungu.
6. Asiwe mfupi tafadhali,asiwe mnywa pombe au kilevi Cha namna yoyote.
LENGO.
1.Kupeana mapenzi motomoto na ya kudumu, bila kuathiri mahusiano mengine kama yapo.
2. Mwenye utayari aje PM tuyajenge.
Kabisa tena wao wala hawana uchoyo kama wallet imetunawanawake wapo wa kutosha, muhimu matunzo tu
Sahihi
Kweli bhana😀
Tatizo la kukosea herufu. Umeacha H ikabadili maana. Ulitaka kusema hana akili lakini ukaandika ana akili. Statement yako inaonesha kuwa demu atakayemkubali basi yupo njema kiakili. Ingawa ulitaka kusema atakayemkubali HANA akili. Vijana jifunze matumizi ya H ni muhimu katika kuandikaWE KWELI MTU MZIMA OVYO TENA UNASEMA UMEOA DEMU ATAKAYEKUKUBALI NAYE ANA AKILI
Nipe namba za mkeo mkuuHello habari zenu. NAMI nichukue fursa hii kutafuta mpenzi. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,mwajiriwa serikalini,nimeoa mke yupo mkoani.