NIFEDIPINE
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 215
- 224
Hello habari zenu. NAMI nichukue fursa hii kutafuta mpenzi. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,mwajiriwa serikalini, nimeoa mke yupo mkoani.
Nahitaji mpenzi Ambaye:
1. Ana umri kuanzia 22 mpaka 33
2. Awe ana kazi inayomuingizia kipato/asiwe tegemezi.
3. Awe tayari kupima afya/HIV/Pregnancy test.
4. Awe mkazi wa Dar es salaam maana NAMI naishi Dar.
5. Awe mkristo walau mwenye kuhudhuria ibada na hofu ya Mungu.
6. Asiwe mfupi tafadhali,asiwe mnywa pombe au kilevi Cha namna yoyote.
LENGO.
1. Kupeana mapenzi motomoto na ya kudumu, bila kuathiri mahusiano mengine kama yapo.
2. Mwenye utayari aje PM tuyajenge.