Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
😂Unatafuta ugomvinipe namba za mkeo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Unatafuta ugomvinipe namba za mkeo mkuu
Ni huzuni sanaMkeo yupo mkoani na wewe upo JF unasaka mchepuko!
Dunia inaenda kasi sana aisee.
Singo mama wamefanyajeTafuta singo mama
aaah wap ebu nichek inbox unielezee vzur n ugomvi gan huo😂Unatafuta ugomvi
aaah wap ebu nichek inbox unielezee vzur n ugomvi gan huo😂Unatafuta ugomvi
Fursa hiyo ichangamkieKweli bhana😀
Mkeo yupo mkoani na wewe upo JF unasaka mchepuko!
Dunia inaenda kasi sana aisee.
We mwenyewe hofu ya mungu huna alafu unatafuta mwenye hofu ya mungu sijui ulilewa wakati unaandika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Easy pickingsTafuta singo mama
[emoji23][emoji23][emoji23]Unatafuta a partner in crimes! Kwa ufupi unauliza kama utampata mzinzi mwenzako, right?
hahahahahah yaani mkuu mimi siwaelewi hawa watuWe mwenyewe hofu ya mungu huna alafu unatafuta mwenye hofu ya mungu sijui ulilewa wakati unaandika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]