Nahitaji msaada na ushauri wa afya yangu

Nilipoona nazidi kupungua kila siku nikahisi labda ni HIV nikaenda kupima nikakuta sina, hapo nikatulia baada ya miezi kadhaa nikaona hakuna mabadiliko nikaenda kupima tena, nimeshapima kama mara nne
Sasa inategemea
Kama unajihisi huenda uli participate ngono isiyo salama kwa muda mfupi
Angalia mara ya mwisho. Ilikuwa lini na je imeisha miezi 3 baada ya ngono isiyo salama?
 
kama hujaoa oa mkuu, upate ulivu wa nafsi... na uache husda na fihi, au roho ya kwanini?
 
Unaweza ukakondeshwa na vingi, labda hali ya uchumi,mapenz,familia au huna furaha ila kikubwa bro, nenda kawaone wataalam wa afya natumaini watakusaidia...pole sana utapona.
 
Sasa inategemea
Kama unajihisi huenda uli participate ngono isiyo salama kwa muda mfupi
Angalia mara ya mwisho. Ilikuwa lini na je imeisha miezi 3 baada ya ngono isiyo salama?
ukinmwi haukondesh mtu ndan ya miez mitatu toka maambukiz mkuu
 
Mahusiano yako na mke au girlfriend wako yakoje?maana saa nyingine wanaume tunabanwa na wapendwa wetu,unakwisha lakini huoni kisa unafaidi kitu fulani,unasahau uhalisia kuwa kuna unapobanwa...
 
Sasa inategemea
Kama unajihisi huenda uli participate ngono isiyo salama kwa muda mfupi
Angalia mara ya mwisho. Ilikuwa lini na je imeisha miezi 3 baada ya ngono isiyo salama?
Ndio miezi 3 imeisha na baada ya hapo nikapima nikakuta sina kitu mkuu
 
Mahusiano yako na mke au girlfriend wako yakoje?maana saa nyingine wanaume tunabanwa na wapendwa wetu,unakwisha lakini huoni kisa unafaidi kitu fulani,unasahau uhalisia kuwa kuna unapobanwa...
Bado sijaoa mkuu, mapenzi hayanisumbui hata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…