amygdala
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,082
- 997
nenda bombo mkuuMkuu niko mkoani tanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda bombo mkuuMkuu niko mkoani tanga
Iko tanga mjini au kwenye wilaya zakenenda bombo mkuu
Sasa inategemeaNilipoona nazidi kupungua kila siku nikahisi labda ni HIV nikaenda kupima nikakuta sina, hapo nikatulia baada ya miezi kadhaa nikaona hakuna mabadiliko nikaenda kupima tena, nimeshapima kama mara nne
SidhaniNdio... Ata ukienda hospitali za kawaida wnakupima tu haichukui ata dakika mbili. Tena kipimo kwa huku kwetu ni elfu mbili.
Unaweza ukakondeshwa na vingi, labda hali ya uchumi,mapenz,familia au huna furaha ila kikubwa bro, nenda kawaone wataalam wa afya natumaini watakusaidia...pole sana utapona.Mimi ni kijana wa 29, Nimekuwa nikipata wakati mgumu kuhusu afya yangu, afya niliyokuwa nayo kipindi cha nyuma sasa naona kila siku inazidi kupungua, na nimesha kwenda vituo vya afya kupima afya (H. I. V) na niko salama, kinachonishangaza ni kwamba kila siku nazidi kupungu tu, na chakula nakula bila shida sina mawazo makubwa inayoweza kunipelekea kukonda kiasi hiki sijawahi kuumwa hata homa za hapa na pale siumwagi, lakini nikiangalia mwili wangu sio kabisa na hata watu wangu wa karibu wananiambia vipi mbona unazidi kuisha tu. Mpaka sasa sijui nifanyaje,
Naombeni kwa wale wataalamu wa afya waniambie ni ugonjwa gani inaweza kumfanya mtu akonde tu bila hata kuumwa mafua,
Na mnipe ushauri labda nikapime vipimo gani au magonjwa gani.
Asante sana
mjini mkuu, ndohospital yenuu ya rufaa hapo tangaIko tanga mjini au kwenye wilaya zake
ukinmwi haukondesh mtu ndan ya miez mitatu toka maambukiz mkuuSasa inategemea
Kama unajihisi huenda uli participate ngono isiyo salama kwa muda mfupi
Angalia mara ya mwisho. Ilikuwa lini na je imeisha miezi 3 baada ya ngono isiyo salama?
Mahusiano yako na mke au girlfriend wako yakoje?maana saa nyingine wanaume tunabanwa na wapendwa wetu,unakwisha lakini huoni kisa unafaidi kitu fulani,unasahau uhalisia kuwa kuna unapobanwa...Mimi ni kijana wa 29, Nimekuwa nikipata wakati mgumu kuhusu afya yangu, afya niliyokuwa nayo kipindi cha nyuma sasa naona kila siku inazidi kupungua, na nimesha kwenda vituo vya afya kupima afya (H. I. V) na niko salama, kinachonishangaza ni kwamba kila siku nazidi kupungu tu, na chakula nakula bila shida sina mawazo makubwa inayoweza kunipelekea kukonda kiasi hiki sijawahi kuumwa hata homa za hapa na pale siumwagi, lakini nikiangalia mwili wangu sio kabisa na hata watu wangu wa karibu wananiambia vipi mbona unazidi kuisha tu. Mpaka sasa sijui nifanyaje,
Naombeni kwa wale wataalamu wa afya waniambie ni ugonjwa gani inaweza kumfanya mtu akonde tu bila hata kuumwa mafua,
Na mnipe ushauri labda nikapime vipimo gani au magonjwa gani.
Asante sana
Ndio miezi 3 imeisha na baada ya hapo nikapima nikakuta sina kitu mkuuSasa inategemea
Kama unajihisi huenda uli participate ngono isiyo salama kwa muda mfupi
Angalia mara ya mwisho. Ilikuwa lini na je imeisha miezi 3 baada ya ngono isiyo salama?
AsanteSidhani
Inategemea na checkup yenyewe
Asante ndugukama hujaoa oa mkuu, upate ulivu wa nafsi... na uache husda na fihi, au roho ya kwanini?
Ubarikiwepole sana mkuu..nenda kwa mtaalamu wa saikolojia hospitali
Asante nduguUnaweza ukakondeshwa na vingi, labda hali ya uchumi,mapenz,familia au huna furaha ila kikubwa bro, nenda kawaone wataalam wa afya natumaini watakusaidia...pole sana utapona.
Sawa nitaenda mkuumjini mkuu, ndohospital yenuu ya rufaa hapo tanga
Bado sijaoa mkuu, mapenzi hayanisumbui hataMahusiano yako na mke au girlfriend wako yakoje?maana saa nyingine wanaume tunabanwa na wapendwa wetu,unakwisha lakini huoni kisa unafaidi kitu fulani,unasahau uhalisia kuwa kuna unapobanwa...
Sawa bossNitafute Kwa sms au simu 0762208190