Nahitaji msaada: Nachelewa kupata hisia katika mambo mbalimbali

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu.

1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga muda umepita.

Au naweza gusa moto nisiungue instantly baada ya muda ndo nasikia maumivu na kurusha mkono wakati huo labda nmeshika pen moto nlishachia zamani.

2. Ikaja pia nikifanya tendo la ndoa yaani naweza maliza bao muda huu ila utamu nakuja sikia baadaye nikiwa nmeshavaa na nguo kabisa hapo ndio ntapiga kelele kwa utamu huku nmefumba macho na kukakamaa mwili.

3. Kipindi cha nyuma nlikuwa sielewi yaan kichekesho kinaweza semwa sasa hivi ikapita hata nusu au masaa ndo nikaanza kucheka ile mbaya. Hii hali inaniogopesha.

Maana wasiwasi wangu ni kuwa itafikia hatua nitakuwa sasa najisikia haja kubwa au ndogo nikiwa nimechelewa kumbe tayari nmeshajisaidia kwenye nguo na hili limenifanya niwe na muda maalumu wa kujisaidia no matter what lazima niende Toi.

Leo amepita demu amevaa nguo ya kutamanisha sana. Sikusimamisha mashine. Baadaye kabisa ndo nakuta mashine imesimama mpaka naumia. Nayo imeanza kupata habari kwa kuchelewa.

Yaani mambo yanachelewa sana na wasiwasi kuna delay inafanyika katka mawasiliano mwilini. Je tatizo ni nini?
 
2. Ikaja pia nikifanya tendo la ndoa.yaani naweza maliza bao muda huu ila utamu nakuja sikia baadaye nikiwa nmeshavaa na nguo kabisa.hapo ndo ntapiga kelele kwa utamu huku nmefumba macho na kukakamaa mwili.

Teh teh. Hivi bao na utamu kipi kinaanza?
 
Dah sema kaugonjwa kako kana faida alafu pia hasara hivi nimeviona kwenye movie kimbe ipo.
 
yan mkuu umenichekesha Sana dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila pole Sana nenda hospitalin ukutane neurologist
 
Hapo kwenye namba tatu ndio nikagundua kwamba huu ni upuuzi mtupu, kuna tofauti ya ‘data transfer’ na ‘data processing’, labda ungesema kichekesho kinasemwa sasa hivi ila wewe unakisikia baadae, ila umekisikia kabisa halafu uje ucheke baadae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…