Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hahaha [emoji1545]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha [emoji1545]
Uume sio mfupa ni misuli/msuli ..pombe za kila wakati hulegeza huo msuliHOW?
Kwani lusekelo hajaokoka? Kwani wasio kunywa pombe wote wameokoka?Pole sana mpendwa uokoke tu hakuna namna
Ndo maana unasema bank wamekuibia pesa kumbe unalewa Hadi unasahau miamala unayofanya. Dawa kunywa hela zote ziishe ukose hela ya kununua hata chakula hapo utaacha pombe.Inasikitisha sana sijui ni kwanini hata nimejikuta nimekwisha tumbukia kwenye ulevi wa kutisha kwa hali niliyofikia ni hatari kwani nakunywa pombe karibu kila siku bila ya kupumzika.
Nimeshakunywa za kienyeji karibu zote, pombe kali zote na kwa sasa nimezamia kwenye bia yaani speed yangu kwa kweli sio nzuri.
Nikinywa nikalewa naanza kujisemesha kuwa Mimi siogopi cha Ukimwi wala kansa nakunywa bia nikalale sitaki mwanamke nawaachia wanywa soda.
Kiukweli naogopa kifo kinachosababishwa na unywaji wa pombe kibaya zaidi nahisi ulevi umenisababishia niwe mbali na Mungu wetu imani imeshuka sana sipati tena muda wa kumkumbuka Yesu.
Nahitaji kubadilika lakini mwenyewe nimeshindwa ndugu wameshaongea mpaka wamechoka wameamua kuniacha tu mwenyewe nifanye ninalotaka nikipata kansa au bawasili au maradhi ya pombe nipambane nayo mwenyewe.
Naomba mtaalam wa saikolojia/kiroho wa kujitolea kunisaidia anisaidie mbinu mbadala, natambua ya kwamba maamuzi ya mwisho yananihitaji Mimi binafsi nijikane lakini kama nilivyosema imekuwa ngumu NASHINDWA.[emoji26]
Well said mkuuMtu ambaye hajawahi kuwa kwenye situation yako hawezi kuelewa.
Binafsi ni vita ambayo nilipigana nayo miaka mingi na shida ni kwamba nilikuwa sikubali kwamba I have a drinking problem.
Anything unachotaka kutatua lazima ukubali kwamba tatizo lipo na linakutesa. Halafu lazima you love yourself enough to ask yourself is this what am willing to put myself through?
Sababu unakuta kesho yake haupo productive katika issues zako, ume overspend, umepata matatizo labda uligombana ukaumizwa, ukaligonga gari lako...ukagombana na mpenzi wako ama amekuacha... its not really worth it.
Cha kufanya ni kuamua kwamba I will stop. Hakuna cha kupunguza... yaani ni unastop hapo hapo. Be warned kwamba kuna withdrawal symptoms mfano za kukosa usingizi, kichwa kuuma lakini lazima ujikumbushe kwanini unaachana na pombe.
Halafu sasa tafuta kitu unachokipenda kufanya halafu tumia muda wako kukifanya. Tafuta kitu ambacho kitakuingizia kipato, kitakuweka healthy na kitakuongezea maarifa flani. Tafuta hobby yako moja, igeuze kuwa side hustle.
Kumbuka ile team yako ya kulewa kuiweka pembeni kwanza. Nilikaa miezi zaidi ya 6 mbali na sehemu nilizopenda kutembelea. Until nilipojua kwamba I am now strong enough to sit anywhere and not crave for alcohol. Hii sio rahisi. Utatemwa na wana ila usijali sana. The real ones will stay.
MMMH OKAYUume sio mfupa ni misuli/msuli ..pombe za kila wakati hulegeza huo msuli
Ndugu yangu anahitaji msaada wa kuacha pombe na sio kubadili kinywaji.We piga gambe tu, ila jitahidi usitumie vitu vikali sana vya kuhatarisha Organs zako za mwili. with time ulevi utaona ni uduanzi tu na kuachana nao. Pia epuka marafiki ambao shughuli zao sio highly committed.
Kwani ukijitambulisha kama mkulima watakunywesha pombe kwa lazima?Habari
Kama ukipata nafasi ya kupumzika kazi au kama umejiajiri au kama una mda wa miezi kadhaa tafuta Safari safiri mji wowote mpya kwako na huko unapokwenda jitambulishe kama sheikh au pastor .. na ukae uko hata mwaka MKUU
Pole sana,najua hali unayopitia,addiction ni kitu kibaya sana lakini kwa Mungu hakuna kinachoshindikana chini ya Jua,nenda kwenye makanisa ya maombezi ukaombewe,wakati mwingine unaweza kusema ni tabia yako kumbe ni pepo lina kudrive uwe mlevi ili uje kuharibikiwa maisha...Inasikitisha sana sijui ni kwanini hata nimejikuta nimekwisha tumbukia kwenye ulevi wa kutisha kwa hali niliyofikia ni hatari kwani nakunywa pombe karibu kila siku bila ya kupumzika.
Nimeshakunywa za kienyeji karibu zote, pombe kali zote na kwa sasa nimezamia kwenye bia yaani speed yangu kwa kweli sio nzuri.
Nikinywa nikalewa naanza kujisemesha kuwa Mimi siogopi cha Ukimwi wala kansa nakunywa bia nikalale sitaki mwanamke nawaachia wanywa soda.
Kiukweli naogopa kifo kinachosababishwa na unywaji wa pombe kibaya zaidi nahisi ulevi umenisababishia niwe mbali na Mungu wetu imani imeshuka sana sipati tena muda wa kumkumbuka Yesu.
Nahitaji kubadilika lakini mwenyewe nimeshindwa ndugu wameshaongea mpaka wamechoka wameamua kuniacha tu mwenyewe nifanye ninalotaka nikipata kansa au bawasili au maradhi ya pombe nipambane nayo mwenyewe.
Naomba mtaalam wa saikolojia/kiroho wa kujitolea kunisaidia anisaidie mbinu mbadala, natambua ya kwamba maamuzi ya mwisho yananihitaji Mimi binafsi nijikane lakini kama nilivyosema imekuwa ngumu NASHINDWA.[emoji26]
Unapita ln Paris Club (Lindi) nikuletee dawa ya kuacha pombe?Inasikitisha sana sijui ni kwanini hata nimejikuta nimekwisha tumbukia kwenye ulevi wa kutisha kwa hali niliyofikia ni hatari kwani nakunywa pombe karibu kila siku bila ya kupumzika.
Nimeshakunywa za kienyeji karibu zote, pombe kali zote na kwa sasa nimezamia kwenye bia yaani speed yangu kwa kweli sio nzuri.
Nikinywa nikalewa naanza kujisemesha kuwa Mimi siogopi cha Ukimwi wala kansa nakunywa bia nikalale sitaki mwanamke nawaachia wanywa soda.
Kiukweli naogopa kifo kinachosababishwa na unywaji wa pombe kibaya zaidi nahisi ulevi umenisababishia niwe mbali na Mungu wetu imani imeshuka sana sipati tena muda wa kumkumbuka Yesu.
Nahitaji kubadilika lakini mwenyewe nimeshindwa ndugu wameshaongea mpaka wamechoka wameamua kuniacha tu mwenyewe nifanye ninalotaka nikipata kansa au bawasili au maradhi ya pombe nipambane nayo mwenyewe.
Naomba mtaalam wa saikolojia/kiroho wa kujitolea kunisaidia anisaidie mbinu mbadala, natambua ya kwamba maamuzi ya mwisho yananihitaji Mimi binafsi nijikane lakini kama nilivyosema imekuwa ngumu NASHINDWA.[emoji26]
Una akili sanaBora niendelee kulipia kodi kupitia TBL kuliko kumchangia mchungaji anunue gari.
Wewe Mshana na mada yako ya Walevi nayo inahamasisha ulevi.Pole sana kuna wakati tuluenda vema mpaka ukaacha kabisa! Ninini kimekusibu tena? Kumbuka ulevi wa kila siku huchosha sana figo na hupunguza kws kiwango kikubwa uwezo wa kujamiiana...
Kama bado una tumaini la kuwa fulani positively huko mbeleni basi una nafasi nzuri ya kuilinda afya yako kwasasa!
Mpaka hapo umevishwa pepo la ulevi ndoo maana unajuta sana kuwa mlevi .umefungwa pole sana upo mkoa njoo pm nikushauli nyakati kama hizo nimepita sana .unaweza pata hela hakuna unacho fanya cha maana.asante kanifungua minyororo hiyoPole sana kuna wakati tuluenda vema mpaka ukaacha kabisa! Ninini kimekusibu tena? Kumbuka ulevi wa kila siku huchosha sana figo na hupunguza kws kiwango kikubwa uwezo wa kujamiiana...
Kama bado una tumaini la kuwa fulani positively huko mbeleni basi una nafasi nzuri ya kuilinda afya yako kwasasa!
Msg hii ifike Ubungo KibanguImani bila matendo imekufa.
Huenda huyu anayeenda kukuombea naye ni mlevi zaidi na anatamani kuacha ameshindwa, kwa ajili ya wadhifa wake na muonekano wake ananywea ndani tena kwa kujificha sana
Kule tunahamasiahana kunywa kwq faida na kunywa kwa afya.. Tunapeana na elimu pia.. Hatupotoshani kuleWewe Mshana na mada yako ya Walevi nayo inahamasisha ulevi.
Mimi acha ninywe tu kwa stress hizi hamna namna