Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

We umeenda kwa pastor gani? Kwanza kabisa kinacholeta uponyaji ni imani yako. Kama imani huna hata uende kwa mganga utakua umefeli. Mganga hawezi toa jini analipoza tu. Njoo kanisani kwetu nione ni jini gani hilo linaloshindikana. Manake hatujawah kuwa na mtu mwenye ishu kama hizo akaondoka na shida zake.
 
Kanisa lenu linaitwaje ?!..na liko wapi ?!
 
Izo mambo si zielewi sana ila kuna mtu namuhisi kabisa
kama majini hayo yanakuongelesha na vitu specific hawa watu wanajua, unaweza kuvichanganya mpaka uhakikishie kweli ni huyu kakutumia.

huwa yanakuambia nini haswa?
 
only prayers
 
Mtajie mchungaji ili aende akaombewe.
 
Hivi unamjua Shetani vizuri wewe? Muulize Mungu aliye muumba. Shetani siyo wa mchezo Kama unavyosema si chochote si lolote.

Hata ukiwa mtakatifu wa kiwango chote, Shetani anao uwezo wa kutwaa uhai wako na kukupa mateso makubwa Sana.

Muulize Ayubu. Mungu alimsihi Shetani asiutwae uhai wake Ila aishie kumjaribu na mapigo mengine.

Kama Shetani angekuwa leledada, achilia mbali mama, Mungu aaingemsihi asiutwae uhai wa AYUBU. Tuielewe Biblia vizuri.

Kikubwa tumuombe Mungu tu.
 
kama majini hayo yanakuongelesha na vitu specific hawa watu wanajua, unaweza kuvichanganya mpaka uhakikishie kweli ni huyu kakutumia.

huwa yanakuambia nini haswa?
Nasikia miguno ya sex ya wife. Saivi niko mbali nae kidogo
 
Mimi nataka mchawi au mtu ambaye and majini kuna mtu kanikwanza nataka kumshikisha adabu
 
Mkuu naomba unifiate pm ninashoda nawewe
Ushauri wangu ...
Kama upo Dar nenda pale msikiti wa Tungi/temeke na umuulizie mtu mmoja anaitwa DARWESH/MUBA .ofisi yake ipo maeneo hayo hayo..
Kwa Hilo tatizo lako biidhillah litatatulika na wataomba kuondoka wenyewe.

Note: usidharau nenda mkuu ...utakuja kunishukuru na ujipange kigharama pia...
[/QUOTE]
 
Bro pole sana kwa matatizo... Nakushauri mambo mawili, kama imani ipo fanya uwaone watu wa dini ila kama huna watafute wataalam (waganga) wanaoweza kukuunganisha na ancestors wako wakupe muongozo wa kupambana na hao wabaya
 
It give two shilling is go the witch doctor is say. I can do or I can not do? I can do. Okey is wait or not waiting tomorrow? Is do perfection well. I am correct?
 
Mimi nina ndugu yangu ana miaka 6 anaumwa. Hawezi kutembea. Alianza kuumwa akiwa na miaka 24. Hospitali zote kaenda hawajui anaumwa nini. Wachungaji na mashehe karibia anawamaliza. Yaani shida tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…