Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes Nina ogopa hata kama ninajua kitu sina ile confidence ya kujielezea nifanyaje nijiaminUnaogopa watu?
Mazoezi ya viungo I mean gym au mazoezi yapianza mazoezi
Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini
Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonip
Viungo/gymMazoezi ya viungo I mean gym au mazoezi yapi
Confidence ya kwanza Ni PESA yaan confidence itakuja automatically...Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini
Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
ingia you tube tafuta jina Joel Nanauka anatoa ushauri mzuri san
Ongea na kioo
Wewe ni KE au ME