Nahitaji msaada wa kuongeza confidence na kujiamini

Nahitaji msaada wa kuongeza confidence na kujiamini

Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini
Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
Kabla sijakushauri cha kufanya ili uwe confident, ningependa kujua reaction yako ukitongozwa face to face,

sitaki uongelee mitongozo ya kupigiwa simu au kuchat,
nikijua hilo ntapata pa kuanzia kukushauri.
 
Yaani nikitongozwa face to face ndo siwezi kumuangalia mtongozaji usoni pia siwezi kuongea naona aibu balaaa
 
Mbinu zangu nazotumia ili mtu asijue kama ninaudhaifu kama wako ni hizi.

1. Nikikutana na mtu kwa mara ya kwanza huwa najitahidi ku maintain eye contact nikiwa naongea nae, haijalishi ye ni nani nikiongea nae namuangalia moja kwa moja machoni.

2. Nikiwa naongea siongei harakaharaka ukiniuliza kitu natulia kama sekunde mbili ndo naanza kukujibu jibu lililonyooka kama sijui nakwambia sijui( hapo nikiwa nakuangalia machoni moja kwa moja)

3. Ukinisalimia kwa kunipa mkono nikiwa nimekaa nasimama kwanza alafu ndo nakupa mkono alafu nakujibu salam nikiwa nakuangalia machoni.
 
Back
Top Bottom