Nahitaji msaada wa kuongeza confidence na kujiamini

Nahitaji msaada wa kuongeza confidence na kujiamini

Ngoja nikusaidie mdogo wangu ukasimulie/ukasaidie na wengine.

Hii ni njia itakayokusaidia mambo 2 kwa uhakika wa 100%.

1. Itakusaidia kuongeza confidence.
2.Itakusaidia kutengeneza tone(sauti)

Tafuta mada unayoielewa vizuri sana ambayo unaweza ukaizungumzia kwa muda mrefu, inaeza kua SGR, MAMA SAMIA,CHADEMA, UTEKAJI, KUOKOKA, KULEWA etc. Yaani kwa kifupi mada yoyote ile ambayo unaweza kuizungumzia.

Chukua simu yako, anza kujirekodi video ukiizungumzia hiyo mada yako mfululizo kwa muda wa dk 5.

Ukishamaliza kujirekodi, chukua simu yako, ifunike kioo kuangalia chini, kisha anza kusikiliza ulichokua unakiongea bila kuitazama video, sikiliza kwa umakini kila kitu, sikiliza namna unavyoongea.

Baada ya zoezi hilo, igeuze simu yako, play tena video uiangalie huku ikiwa haina sauti kabisaaaaa. Chunguza movement za mdomo, angalia body language kwa kifupi jitazame vizuri.

Baada ya hapo itazame video yoote kikawaida

Rudia huu mseto kila siku kwa muda wa wiki mbili halafu urudi hapa na ushuhuda, dk 5 zinakutosha kabisa bi dada wala usihangaike kuzidisha.
 
Napitia iyo hali nakosa amani ya moyo nakosa furaha mda mwingi nakua kimya hali inayonisababishia upweke wa ajabu sijui hatma ya maisha yangu kabisa dah
 
Anza kutatua tatizo la kukosa confidence Kwa kufanya vitu vya kawaida kama kucheza mziki mbele za watu, kuendesha baiskel, kuzungumza na ndugu zako topic maalumu za kujieleza
 
Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini
Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
Kuna Mganga ana dawa ya kuongeza nguvu za kiume.
 
Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini
Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
Angalia zile inspiration na motivation videos za tiktok utajikuta unaongeza kujiamini kwa mfano kuna jamaa anaitwa denzel washington
 
Confidence ya kwanza Ni PESA yaan confidence itakuja automatically...

Unaweza kuanza kutumia vilevi kidogo kidogo kuondoa nishai mfano ukipiga zako alcohol 40%vol ukinywa 100ml unapata confidence kimtindo then jikomaze mdogo mdogo utakaa sawa.....

Unaweza uka smoke weed kidogo kuweka kichwa SAWA Mara moja moja confidence itazaliwa moyoni mwako..
Mimi nilikuwaga sina confidence ila kilichonisaidia ni zile motivation videos za tiktok basi
 
Confidence ya kwanza Ni PESA yaan confidence itakuja automatically...

Unaweza kuanza kutumia vilevi kidogo kidogo kuondoa nishai mfano ukipiga zako alcohol 40%vol ukinywa 100ml unapata confidence kimtindo then jikomaze mdogo mdogo utakaa sawa.....

Unaweza uka smoke weed kidogo kuweka kichwa SAWA Mara moja moja confidence itazaliwa moyoni mwako..
Weed haipo kwa ajili ya watu wasiojiamini, wasiojitambua
NOTE THAT!
 
Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini
Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
Hapo suluhisho ni THC tu
 
Back
Top Bottom