Nahitaji msaada wa mawazo juu ya gari gani ya familia ninunue

Nahitaji msaada wa mawazo juu ya gari gani ya familia ninunue

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,399
Reaction score
1,014
Nawaomba msada wenu wadau.

Nahaitaji gari ya familia ya watoto wanne na mke, kati ya Spacio new model au Wish new model, au nyingine yenye muelekeo huo ila isiwe ya kufunguka kama Noah, mfano Raum Isis. Kama utanishauri, naomba unipe sababu ya kuchagua hako kagari.

Nawasilisha wapendwa.
 
Nawaomba MSAADA WENU WADAU NAHITAJI GARI YA FAMILIA YA WATOTO WANNE NA MKE KATI YA SPACIO NEW MODEL,AU WISH NEW MODEL AU NYINGINE YENYE MWELEKEO HUO ILA ISIWE YA KUFUNGUKA KAMA NOAH MFANO RAUM ISIS NA KAMA UTANISHAURI NAOMBA UNIPE NA SABABU YA KUNICHAGULIA HAKO KAGARI NAWsilisha wapendwaa
VW Combi itakufaa mkuu
images.jpeg
 
Gari ya maana hiyo, lakini sidhani kama itaangukia kwenye category anayopendekeza. Bila shaka na bei pia anaitafakari, kwa Vanguard mshiko wake wa maana sio kama kina Raum & CO
Jamaa anaitwa UOGA=UMASIKINI
hivyo sidhani kama budget kwake ni issue. Yeye kasema tumshauri gari la kubeba watoto wanne na mke
 
Back
Top Bottom