Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
Mkuu hajazungumzia swala la bei, yeye kaulizia tu aina ya gari, bei atakutana nazo mtandaoni asije akafikiri mimi ni dalali 😛 😛 😛Usisahau kumwambia na bei yake mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hajazungumzia swala la bei, yeye kaulizia tu aina ya gari, bei atakutana nazo mtandaoni asije akafikiri mimi ni dalali 😛 😛 😛Usisahau kumwambia na bei yake mkuu.
Hahah hapo kwny udalali umeua mkuu.Mkuu hajazungumzia swala la bei, yeye kaulizia tu aina ya gari, bei atakutana nazo mtandaoni asije akafikiri mimi ni dalali [emoji14] [emoji14] 😛
Mtoto akililia wembe!Hahah hapo kwny udalali umeua mkuu.
Si umeona gari anazoziongela ni zile za level ya SPACIO NEW MODEL/WISH NEW MODEL ukimpeleka kwny Vanguard atakimbia akijua bei yake.
Hiyo hapana boss bajeti hairuhusuChukua kitu kinaitwa Vangurd zipo zenye seat 7 .Kuna seat 2 nyuma,tatu kati na mbili m
Hutajuta. Inaacommodate familia yako na ziada kubaki
Ccc ngapiii boss na bei za third hand zikojeeChukua kitu kinaitwa Vangurd zipo zenye seat 7 .Kuna seat 2 nyuma,tatu kati na mbili mbele
Hutajuta. Inaacommodate familia yako na ziada kubaki
Acha kabisa hiyo kitu ni confortable kinoma. Unajikuta upo speed 160kph lakini kama upo 80kph vile
HaaaaaaaaaaNina trekta.
Lavuta kila kitu, familia na ukoo unaenea humo.
Halitaki haraka.
Mimi pia naipenda Sana Ila bajet hairuhusuNaipenda hiyo gari
Basi chukua Wish au Raum.Mimi pia naipenda Sana Ila bajet hairuhusu
Mbona mnatoka nje ya budget ya mtoa madaNissan x-trail ni nzuri pia.,vanguard,Rav4 new model n.k
Mimi pia naipenda Sana Ila bajet hairuhusu
Basi chukua Wish au Raum.
Ila we kwakua ni Me basi wish au x trial
Husomeki mkuu lakini endelea kupima hata ukistaafu.Akili ndogo kupima kwa kuchangia uzi mkuu unashangaza sana
Basi aende kwenye Wish.Raum amekwambia hataki vile milango inavyofunguka.
Basi aende kwenye Wish.
Ila me naona new model Raum iko fresh tu
Naipenda hiyo gari
Siku nikishinda biko lazima nikurupuke na kimoja wapo kati ya Vanguard au Fortuner [emoji3] [emoji3]