Nahitaji msaada wa mawazo juu ya gari gani ya familia ninunue

Nahitaji msaada wa mawazo juu ya gari gani ya familia ninunue

Vanguard ni nzuri sana ukiikosa hiyo chukua rav 4 kilitime
Hivi uwa hamsomi comments mnazozikuta kabla ya kucomment zenu? Mtoa mada mfuko wake hautoshi bei ya Vanguard.

Mchagulie zilizopo kwenye machaguo yake
 
Back
Top Bottom