UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
Chukua kitu kinaitwa Vangurd zipo zenye seat 7 .Kuna seat 2 nyuma,tatu kati na mbili mbele
Hutajuta. Inaacommodate familia yako na ziada kubaki
Naipenda hiyo gari.Chukua kitu kinaitwa Vangurd zipo zenye seat 7 .Kuna seat 2 nyuma,tatu kati na mbili mbele
Hutajuta. Inaacommodate familia yako na ziada kubaki
Uwiiii kama Mimi ππUgonjwa wangu
Acha kabisa hiyo kitu ni confortable kinoma. Unajikuta upo speed 160kph lakini kama upo 80kph vileUgonjwa wangu
πππNina trekta.
Lavuta kila kitu, familia na ukoo unaenea humo.
Halitaki haraka.
Uwiiii kama Mimi ππ
Yani namaliza kucomment kama naipenda na we naona comment yako
Chukua kitu kinaitwa Vangurd zipo zenye seat 7 .Kuna seat 2 nyuma,tatu kati na mbili mbele
Hutajuta. Inaacommodate familia yako na ziada kubaki
Ugonjwa wangu
Gari ya maana hiyo, lakini sidhani kama itaangukia kwenye category anayopendekeza. Bila shaka na bei pia anaitafakari, kwa Vanguard mshiko wake wa maana sio kama kina Raum & CONaipenda hiyo gari
Gari ya maana hiyo, lakini sidhani kama itaangukia kwenye category anayopendekeza. Bila shaka na bei pia anaitafakari, kwa Vanguard mshiko wake wa maana sio kama kina Raum & CO
Akili ndogo kupima kwa kuchangia uzi mkuu unashangaza sanaNina trekta.
Lavuta kila kitu, familia na ukoo unaenea humo.
Halitaki haraka.
Siku nikishinda biko lazima nikurupuke na kimoja wapo kati ya Vanguard au Fortuner π πNi kweli..ni aghali...ila very comfortable
Siku nikishinda biko lazima nikurupuke na kimoja wapo kati ya Vanguard au Fortuner π π
VW Combi itakufaa mkuuNawaomba MSAADA WENU WADAU NAHITAJI GARI YA FAMILIA YA WATOTO WANNE NA MKE KATI YA SPACIO NEW MODEL,AU WISH NEW MODEL AU NYINGINE YENYE MWELEKEO HUO ILA ISIWE YA KUFUNGUKA KAMA NOAH MFANO RAUM ISIS NA KAMA UTANISHAURI NAOMBA UNIPE NA SABABU YA KUNICHAGULIA HAKO KAGARI NAWsilisha wapendwaa
Jamaa anaitwa UOGA=UMASIKINIGari ya maana hiyo, lakini sidhani kama itaangukia kwenye category anayopendekeza. Bila shaka na bei pia anaitafakari, kwa Vanguard mshiko wake wa maana sio kama kina Raum & CO
Thanks, you made my dayNina trekta.
Lavuta kila kitu, familia na ukoo unaenea humo.
Halitaki haraka.
Usisahau kumwambia na bei yake mkuu.Chukua kitu kinaitwa Vangurd zipo zenye seat 7 .Kuna seat 2 nyuma,tatu kati na mbili mbele
Hutajuta. Inaacommodate familia yako na ziada kubaki