Nahitaji msaada wa mawazo juu ya gari gani ya familia ninunue

Mkuu hajazungumzia swala la bei, yeye kaulizia tu aina ya gari, bei atakutana nazo mtandaoni asije akafikiri mimi ni dalali [emoji14] [emoji14] 😛
Hahah hapo kwny udalali umeua mkuu.

Si umeona gari anazoziongela ni zile za level ya SPACIO NEW MODEL/WISH NEW MODEL ukimpeleka kwny Vanguard atakimbia akijua bei yake.
 
Acha kabisa hiyo kitu ni confortable kinoma. Unajikuta upo speed 160kph lakini kama upo 80kph vile

Ni hizi mpya zenye spare tyre nyuma? Hii ilikua kasoro mojawapo ya hizi gari toleo la mwanzo, hazikua na spare tyre kabisa.

Ila kwa ujumla ziko vizuri.
 
Basi aende kwenye Wish.
Ila me naona new model Raum iko fresh tu

Zina nafasi, matumizi mazuri ya mafuta, hata muonrksno tu sio mbaya sana. Lakini kipenda roho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…