Mwakani usisahau, nitakukumbushaWe jamaakama mimi aisee. Fortuner ni matata mnooo bado nina mambo mengi hadi nasahau kulinunua, ngoja mwakani.
Hivi uwa hamsomi comments mnazozikuta kabla ya kucomment zenu? Mtoa mada mfuko wake hautoshi bei ya Vanguard.Vanguard ni nzuri sana ukiikosa hiyo chukua rav 4 kilitime
Inastahili 😄huwa naiita, mdogo ake v8 kilimo kwanza.
Boss upo......
Ova