Nahitaji msaada wa Millard Ayo kuhusu vidonda vya tumbo

kuuuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
590
Reaction score
511
Nipo Tabora, nasumbuka muda mrefu sana na madonda ya tumbo, nimekunywa dawa kila kona herbal Clinic mpaka hospital lakini sijapata nafuu.

Ombi langu naomba mnisaidie alie na namba ya Millard Ayo wa Clouds FM anayerusha kipindi cha Amplifaya kuanzia saa moja jioni, nilimsikia akitangaza alipata dawa ya madonda ya tumbo akanywa na akapona kabisa.

So, naomba msaada anayemfahamu anipe namba yake.

Namba yangu ni: 0621090071
 
Nipo Tabora, nasumbuka muda mrefu sana na madonda ya tumbo, nimekunywa dawa kila kona harbel clinic mpaka hospital lakini sijapata nafuu.

Ombi langu naomba mnisaidie alie na namba ya Millard Ayo wa Clouds FM anayerusha kipindi cha Amplifaya kuanzia saa moja jioni, nilimsikia akitangaza alipata dawa ya madonda ya tumbo akanywa na akapona kabisa.

So, naomba msaada anayemfahamu anipe namba yake.

Namba yangu ni: 0621090071

Duuh...
Naona mods wame-edit kidogo
 
Pole sana. Mungu akuletee uponyaji uwe na afya tele.
 
Nipo Tabora, nasumbuka muda mrefu sana na madonda ya tumbo, nimekunywa dawa kila kona herbal Clinic mpaka hospital lakini sijapata nafuu.

Ombi langu naomba mnisaidie alie na namba ya Millard Ayo wa Clouds FM anayerusha kipindi cha Amplifaya kuanzia saa moja jioni, nilimsikia akitangaza alipata dawa ya madonda ya tumbo akanywa na akapona kabisa.

So, naomba msaada anayemfahamu anipe namba yake.

Namba yangu ni: 0621090071
pole sana mtu wa nguvu, namba yake ni 0683881400
 
Back
Top Bottom