Nipo Tabora, nasumbuka muda mrefu sana na madonda ya tumbo, nimekunywa dawa kila kona herbal Clinic mpaka hospital lakini sijapata nafuu.
Ombi langu naomba mnisaidie alie na namba ya Millard Ayo wa Clouds FM anayerusha kipindi cha Amplifaya kuanzia saa moja jioni, nilimsikia akitangaza alipata dawa ya madonda ya tumbo akanywa na akapona kabisa.
So, naomba msaada anayemfahamu anipe namba yake.
Namba yangu ni: 0621090071