Nahitaji msaada wakujua jinsi yakukopa tala

Nahitaji msaada wakujua jinsi yakukopa tala

samir nassir

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,475
Kama mda inavyo sema nahitaji msaada wenu wadau nahitaji kukopa kwenye mtandao wa talaa lakini Nina kitambulisho cha mzanzibar hakikubali nafanyeje na Nina kitambulisho icho tu
 
Usipolipa on time ndio utajua, kukopa ni rahisi uwe na ID inayotambulika kiserikari basi na vimaelezo vya ajabu ambavyo unaweza kudanganya.
.
MAKINIKA ulipe usipo lipa utapata tabu sana
 
Usikope huko,tafuta njia mbadala ya ku_solve magumu uliyonayo..
 
Back
Top Bottom