samir nassir
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,119
- 1,475
Kama mda inavyo sema nahitaji msaada wenu wadau nahitaji kukopa kwenye mtandao wa talaa lakini Nina kitambulisho cha mzanzibar hakikubali nafanyeje na Nina kitambulisho icho tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kivipiSio kuzuri huko ohoooo
Usipolipa on time ndio utajua, kukopa ni rahisi uwe na ID inayotambulika kiserikari basi na vimaelezo vya ajabu ambavyo unaweza kudanganya.kivipi
Deni hafungwi mtu.Usipolipa on time ndio utajua, kukopa ni rahisi uwe na ID inayotambulika kiserikari basi na vimaelezo vya ajabu ambavyo unaweza kudanganya.
.
MAKINIKA ulipe usipo lipa utapata tabu sana
Kama mda inavyo sema nahitaji msaada wenu wadau nahitaji kukopa kwenye mtandao wa talaa lakini Nina kitambulisho cha mzanzibar hakikubali nafanyeje na Nina kitambulisho icho tu