Sasa mkuu unadhani iphone utaifanyeje? Haaah iweke laini iliyokuwemo umtafute mwenyewe umpe au uweke laini ingine tafuta namba alizowasiliana nazo mara kwa mara waambie nimeokota simu ukimpata mhusika muombe akupe hata kifuta jasho,hiyo sio kama android ni ngumu mno hiyo kuiflash