Nahitaji msaada wenu kwenye simu hii ya iphone 5s nilioiogota

Nahitaji msaada wenu kwenye simu hii ya iphone 5s nilioiogota

black-tz

Member
Joined
Jul 20, 2021
Posts
62
Reaction score
84
Hii simu nimeiokota nitawezaje kutatua tatizo hili.

WhatsApp Image 2023-08-28 at 10.46.39.jpeg
 
Sasa mkuu unadhani iphone utaifanyeje? Haaah iweke laini iliyokuwemo umtafute mwenyewe umpe au uweke laini ingine tafuta namba alizowasiliana nazo mara kwa mara waambie nimeokota simu ukimpata mhusika muombe akupe hata kifuta jasho,hiyo sio kama android ni ngumu mno hiyo kuiflash
 
Umetoa line umeconnect vp hiyo wifi

Bora ukauze kama spare kifaa ki1 ki1 la sivyo rudisha line mwenye nayo ataipigia au watu wake watapiga wape maelezo ulipo mwenye nayo aifate la sivyo utalipa vingi na ndani hutoki leo kama hujipendi

Eti nimeokota! Sawa ila kikosi kazi hakitaamini hilo!
 
Back
Top Bottom