kupe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 1,035
- 328
Mimi nipo nje ya nchi na nategemea kurudi tanzania muda si mrefu. Nitafurahi sana kama nitapata msichana aliye serious na mahusiano ikiwezekana hadi future . umri awe na miaka kati ya miaka 19 hadi 27 ...... Aliye na nia anaweza kuni pm. Nitampa contact zangu. Asanteni.