Nahitaji msichana wa kuoa

Nahitaji msichana wa kuoa

sii utafute walokole wenzio umo kanisani wenye akili kama zako!!!!
Kanisa la Mungu liko duniani kote, nina maana waliookoka hawapo kanisani ninapo sali tu, ila duniani kote, hivyo naweza pata mke toka popote duniani. Si amri ya 11 kuwa lazima nioe kanisani ninapo sali tu. Na si kwamba wasiookoka ni wabaya hapana. wapo wadada hawajaokoka ila wana hofu ya Mungu na wemetulia vizuri. Maana hata huyo niliyomuoa mwanzo alikuwa ameokoka lakini alikengeuka. Ila nimetumia kigezo hicho kwa sababu maalumu.
 
Nimesoma posts zote za mleta mada na nimegundua haya akipata mke mwingine watashindwana tu, kwa sababu anaamini yeye ndio kila kitu kwenye ndoa, inaonyesha ni mbabe kwa wanawake na kibaya zaidi hana roho ya msamaha (kinyume na maandiko yanayosema samehe mara sabini) . Kama mkeo kajutia aliyokufanyia, msamehe mlee mtoto wenu, kwa nini utafute mwingine? Je wewe huna dhambi?! Pia suala la kusema kuwa mwanamke mwenye mtoto anaweza kurejesha mahusiano na mzazi mwenzie kupitia mtoto ni la kipuuzi na kukosa kujiamini. By the way, choice yako hasa kwenye umri imenishangaza kidogo, mungu akikujalia ukafika miaka 55 halafu binti ndio ana kama 30yrs, kila siku si utalala presha na sukari viko juu?!!
 
wewe hutafuti mke unatafuta mtu wakukulea maana ushazeeka tayari

alaf ulivyokuw mjanja unatafuta vi binti duuuuh
Sawa kabisa hujakosea anilee nami nimlee. Ila nakukanusha sijazeeka na pili ulitaka nitafute vivulana na si vibinti? umri huo ni mtu mzima.
 
You can't be serious mkuu. 43 vs 20 naona majanga. Sa utapiga naye stori gani binti wa miaka 20 hata hajijui kama ye msichana ama mwanamke.

Tafuta wakongwe wenzako at least from 35 na kuendelea huko mbele sio wanafunzi wa chekea
 
Hakuna ubinafsi hapo! Mtoto huwa ni wa baba, hivyo sihitaji kuingia mashaka kisa eti baba wa mtoto ana mazungumzo na mke wangu. Na kwa walio wengi utakuta kigezo cha mtoto kinawarudisha kwenye mahusiano. Upande wangu toka huyo mwanamke aondoke nilikata mahusiano kabisa, na haitakuwa tena, sasa miaka sita imepita. Labda mtoto awe amefiwa na baba.
Kwahiyo wajiona wa kipekee sana kutowasiliana na mama mtoto, ila kwa wengine wao wanawasiliana na wazazi wenzao.

Unafikiri kwa umri huo utapata binti asiye na mtoto?? nani atake mzee?? ha ha ha ha.

Hafu utapimaje kujua hakuwahi kutoa mimba??
 
Kanisa la Mungu liko duniani kote, nina maana waliookoka hawapo kanisani ninapo sali tu, ila duniani kote, hivyo naweza pata mke toka popote duniani. Si amri ya 11 kuwa lazima nioe kanisani ninapo sali tu. Na si kwamba wasiookoka ni wabaya hapana. wapo wadada hawajaokoka ila wana hofu ya Mungu na wemetulia vizuri. Maana hata huyo niliyomuoa mwanzo alikuwa ameokoka lakini alikengeuka. Ila nimetumia kigezo hicho kwa sababu maalumu.
Ndoa yenu ilikuwa ya kanisani?
 
Nenda kolomije.
Ila ni watata kama bashite.
 
Point muhimu jamaa mbabe halafu mjuaji kwa kutumia biblia hafai huyu
Nimesoma posts zote za mleta mada na nimegundua haya akipata mke mwingine watashindwana tu, kwa sababu anaamini yeye ndio kila kitu kwenye ndoa, inaonyesha ni mbabe kwa wanawake na kibaya zaidi hana roho ya msamaha (kinyume na maandiko yanayosema samehe mara sabini) . Kama mkeo kajutia aliyokufanyia, msamehe mlee mtoto wenu, kwa nini utafute mwingine? Je wewe huna dhambi?! Pia suala la kusema kuwa mwanamke mwenye mtoto anaweza kurejesha mahusiano na mzazi mwenzie kupitia mtoto ni la kipuuzi na kukosa kujiamini. By the way, choice yako hasa kwenye umri imenishangaza kidogo, mungu akikujalia ukafika miaka 55 halafu binti ndio ana kama 30yrs, kila siku si utalala presha na sukari viko juu?!!
 
Kwahiyo wajiona wa kipekee sana kutowasiliana na mama mtoto, ila kwa wengine wao wanawasiliana na wazazi wenzao.

Unafikiri kwa umri huo utapata binti asiye na mtoto?? nani atake mzee?? ha ha ha ha.

Hafu utapimaje kujua hakuwahi kutoa mimba??
Niwasiliane naye wa nini wakati yeye mwenyewe aliondoka na kumwacha mtoto, nikawa ndiyo baba ndiyo mama, nimepata taabu sana ya kulea lakini Mungu amenivusha.

Pili hakuna ugumu kabisa wa kupata wasichana wasio na watoto. Mbona wengi tu.
 
Kwahiyo wajiona wa kipekee sana kutowasiliana na mama mtoto, ila kwa wengine wao wanawasiliana na wazazi wenzao.

Unafikiri kwa umri huo utapata binti asiye na mtoto?? nani atake mzee?? ha ha ha ha.

Hafu utapimaje kujua hakuwahi kutoa mimba??
Kufahamu kama hajawahi shika mimba ni rahisi tu mbona, hakuna ugumu wowote.
 
You can't be serious mkuu. 43 vs 20 naona majanga. Sa utapiga naye stori gani binti wa miaka 20 hata hajijui kama ye msichana ama mwanamke.

Tafuta wakongwe wenzako at least from 35 na kuendelea huko mbele sio wanafunzi wa chekea
Sijakurupuka, nimefanya research ya kutosha juu ya uelewa wao katika age tofauti tofauti, na suala zima la uzazi ulio salama zaidi kwa mwanamke ni ktk age ipi ndiyo nikafanya maamuzi. Mabinti wa siku hizi wanafahamu mambo mengi sana juu ya mahusiano kuliko unavyo dhani.
 
Back
Top Bottom