Nahitaji mtu mzima nitulie nae

Kuna watu wanataka wa kuishi nao mikoani wake zao hawataki kutoka dar,uko teyari kufunga biashara na kwenda mkoa wowote?
 
Kwa umri wako huo (25) nashauri utulie tu wako atakuja hata ukiwa at 30 years of age kuliko kuchukua babu wa miaka 45 hadi 60 ambaye uwezekano wa kukufanya mchepuko ni mkubwa kuliko maelezo.
Vuta subira, muombe Mungu atakupatia mme. Usikate tamaa.
Mwisho kabisa pambania maisha yako na mtoto mme atakukuta siku ikifika.
 
Bado haujaweka bayana, huyo mtoto baba yake amekufa mwaka gani?
 
Asante kwa ushauri
 
Na umri huo una mtoto? Uliharakisha kuyaonja maisha sasa unajutia
 
Acha ndoto, mababu tunaanzia 60 kwenda mbele. 45 kwa miaka hii ni kijana bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…