Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,089
- 4,816
Njoo igoma tuonane
Mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza
Ingine tenaShida matatizo yako unageuza ya wengineSingle 'mothers': Usimsimange mtoto kwa sababu ya tofauti kati yako na baba yake
Usimuone mwanao kama mzigo na wala usimsimange mtoto kwa sababu ya tofauti zilizotokea kati yako wewe na babake act like nothing has happened, lea mwanao kwa upendo usimsimange eti kisa hupewi support katika malezi au umeachwa na mzazi mwenzio, usipeleke hasira zako kwa mtoto usifanye mtoto...www.jamiiforums.com
Dada watu wamerudi kukusoma subiri ushauri utakao kujaMwanza
Bado hujamaliza mbonaDada watu wamerudi kukusoma subiri ushauri utakao kuja
Mawazo yako sikupingiMambo ya december hayo.
Nyuzi hizi tutaziona sana hii miezi 2 mpaka 3 tu [emoji3][emoji3]
Asante kwa ushauriKwa umri wako huo (25) nashauri utulie tu wako atakuja hata ukiwa at 30 years of age kuliko kuchukua babu wa miaka 45 hadi 60 ambaye uwezekano wa kukufanya mchepuko ni mkubwa kuliko maelezo.
Vuta subira, muombe Mungu atakupatia mme. Usikate tamaa.
Mwisho kabisa pambania maisha yako na mtoto mme atakukuta siku ikifika.
Pole sana mkuuNoo,sio kukubali but nimesema hivo ili mtu anielewe kuwa sitaki hit and run nataka wa kuwa nae siku zote
Na umri huo una mtoto? Uliharakisha kuyaonja maisha sasa unajutiaHabarini wapendwa,kama kichwa kinavojieleza nahitaji mtu mzma wa kutulia nae nimechoka hekaheka za vijana na uwongo wao.
Mtu mzma ninaemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 45 mpaka 60,dini yoyote,kabila lolote pia awe anajiweza kiuchumi.
Mimi ni single mama wa mtoto mmoja niko na 25 years dini ni mkristo pia ni mjasiriamali.
Note:Awe tayari kucheck afya pia nahitaji wa kutulia nae sio hit and run
Serious inbox me
Acha ndoto, mababu tunaanzia 60 kwenda mbele. 45 kwa miaka hii ni kijana badoKwa umri wako huo (25) nashauri utulie tu wako atakuja hata ukiwa at 30 years of age kuliko kuchukua babu wa miaka 45 hadi 60 ambaye uwezekano wa kukufanya mchepuko ni mkubwa kuliko maelezo.
Vuta subira, muombe Mungu atakupatia mme. Usikate tamaa.
Mwisho kabisa pambania maisha yako na mtoto mme atakukuta siku ikifika.
No sijutii kabisaNa umri huo una mtoto? Uliharakisha kuyaonja maisha sasa unajutia
25 unashangaa!mbona wapo wana 14 tayar wana watotoNa umri huo una mtoto? Uliharakisha kuyaonja maisha sasa unajutia
Na hajui mtoto ulimpata na miaka 1725 unashangaa!mbona wapo wana 14 tayar wana watoto
NoooopNa hajui mtoto ulimpata na miaka 17