Safi sana kiongozi mi navutiwa sana jinsi unavyopambana, najua utakuwa na mtaji wa kuzungushia coz bila ya hivyo ni ngumu, lakini kuna wengine wapo na hela lakini inaishia kutoka tu na mtu hata hajui aizungushe vipi.
Package waone sanku fortification watakupa kwa makubaliano na fortification. Nendo rahisi utatengenezewa kwa bei chee halafu utawatumia wao waibandike kwenye package yao. Yani utatengenezewa packages nyng wewe utakuwa unalipia kidogo kidogo unachukua na wanakupa virutubushi bure na wanaweza kukupa hata mashine ya dosfier bure