isayaj
Senior Member
- May 10, 2022
- 153
- 146
- Thread starter
- #21
asante mkuuSafi sana kiongozi mi navutiwa sana jinsi unavyopambana, najua utakuwa na mtaji wa kuzungushia coz bila ya hivyo ni ngumu, lakini kuna wengine wapo na hela lakini inaishia kutoka tu na mtu hata hajui aizungushe vipi.
Inatia sana moyo mkuu...!